ngoma imedata katikati ya barabara sehemu za mikocheni TMJ jijini dar kila juhudi za kuiwasha inashindikana
ah... isiwe taabu.
haya
ndo mambo mvua inaponyesha jijini dar ambako sio tu mitaro ya maji
haitoshi, bali pia aidha imeziba kwa kutosafishwa mara kwa mara ama
kuzibwa na ujenzi holela. hapo hatujazungumzia haja ya kuboresha
miundombinu kwa kadri ya jiji linavyopanuka..
0 comments:
Post a Comment