Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya waumini wa dini ya
kiislamu muda mfupi baada ya kumalizika kwa swalla ya Iddi iliyoswaliwa
katika Msikiti Mkuu wa Riyadh mjini Tanga leo asubuhi Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mkono wa Iddi na Rais Mstaafu wa awamu
ya pili Mzee Ali Hassan Mwinyi wakati wa Swalla ya Iddi iliyoswaliwa
katika Msikiti mkuu wa Riyadh mjini Tanga.Mzee Mwinyi ndiye mgeni Rasmi
katika baraza la Iddi litakalofanyika kitaifa mjini Tanga. Rais
Mstaafu awamu ya pili Mzee Ali Hassan Mwinyi akisalimiana na Mufti
Mkuu sheikh Issa Shaaban Simba wakati wa Swalla ya Iddi iliyoswaliwa
mjini Tanga leo.Katikati anayeangalia ni Rais Jakaya Mrisho Kikwete Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiteta jambo na Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh
Issa Shaaban Simba wakati wa swalla ya Idd iliyoswaliwa kwenye Msikiti
Mkuu wa Riyadh mjini Tanga leo asubuhi. (picha na Freddy Maro)
0 comments:
Post a Comment