PERFECT KASIGA A.K.A P.DIDDY AFARIKI DUNIA
P.
DIDDY AMBAYE ALIKUWA NI MCHUMBA WA MTANGAZAJI MAARUFU WA TBC1,MAIMATHA
JESSE AMEPATWA NA MAUTI HAYO LEO HII WAKATIKA AKIWA KATIKA MATEMBEZI
YAKE YA KILA SIKU BAADA YA KUANGUKA GHAFLA KATIKA BARABARA YA LUMUMBA,
MNAZI MMOJA, JIJINI DAR ES SALAAM
MWILI WA MAREHEMU UMEPELEKWA KATIKA HOSPITAL YA TAIFA YA MUHIMBILI KWA UCHUNGUZI ZAIDI.
TUNAENDELEA KUFUATILIA KWA UKARIBU NA TUTAWALETEA KILA KITAKACHOKUWA KINAJIRI KATIKA MSIBA HUU.
MWILI WA MAREHEMU UMEPELEKWA KATIKA HOSPITAL YA TAIFA YA MUHIMBILI KWA UCHUNGUZI ZAIDI.
TUNAENDELEA KUFUATILIA KWA UKARIBU NA TUTAWALETEA KILA KITAKACHOKUWA KINAJIRI KATIKA MSIBA HUU.
0 comments:
Post a Comment