Mkutano wa JK Bumbuli Funika Bovu
JK
akipokelewa kwa shangwe na umati mkubwa wa watu na wapenzi wa CCM wa
Bumbuli wilani Lushoto Jumatatu jioni katika uwanja wa mkutano wa
Togotwe, Bumbuli.
Mgombea ubunge jimbo la Bumbuli January Makamba
akimwaga sera baada ya kunadiwa na JK kwenye mkutano huo
Vilima vyote kuzunguka uwanja wa Togotwe vilifurika watu
Wana Bumbuli mkutanoni
Wasanii nyota kibao walikuwapo
Palikuwa hapatoshi


akimwaga sera baada ya kunadiwa na JK kwenye mkutano huo




0 comments:
Post a Comment