WAGOMBEA WA URAIS CUF NAO WAREJESHA FOMU ZAO
Wagombea
Urais kupitia Chama Cha Wananchi CUF Prof. Ibrahim Lipumba kushoto na
Mgombea mwenza Duni Haji Duni wakipunga mikono yao mara baada ya
kurejesha fomu zao katika Ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jijini Dar
es salaam leo ambapo wagombea kutoka vyama vyote vyote wanatarajia
kuanza kampeni kesho nchini kote.
Viongozi
wa Chama Wanachi CUF wakinyanyua juu mikono yao kuwapungia wanachama wa
Chama hicho waliowasindikiza wagombea wao wakati waliporejesha fomu leo
jijini Dar es salaam.
Wanachama
wa chama cha CUF wakishangilia katika ofisi za Tume ya Uchaguzi leo
wakati wagombea urais wa chama chao waliporejesha fomu Tume ya Uchaguzi
leo.
0 comments:
Post a Comment