Rais JK ndani ya BukobaJK akimnadi mgombea ubunge wa jimbo la Bukoba mjini,Bw. Hamis Kagasheki
katika kampeni za uchaguzi mkuu anazoendelea kuzifanya mikoani.
JK akimsikiliza mgombea ubunge wa jimbo la Bukoba Vijijini,Bw. Jasson
Rweikiza alipokuwa anawatubia wakazi wa kijiji hicho mara baada ya
kunadiwa.
Sehemu ya umati mkubwa wa wana CCM na wapenzi wa chama hicho
wakimsikiliza JK katika mkutano huo uliofanyika katika uwanja wa
Mashujaa. JK akiwa katika picha ya pamoja na wagombea ubunge na udiwani wa Bukoba.
Kinamama wa Bukoba mjini wakimshangilia JK alipokuwa akihutubia umati wa wana Bukoba katika uwanja wa Mashujaa.
0 comments:
Post a Comment