Rais Karume Azindua Majenereta 32 Ya Umeme Wa Akiba
ikiwa ni hatua ya Uzinduzi wa majenereta 32 ya Umeme wa Akiba,huko Kituo Kikuu cha Umeme Mtoni,majenereta hayo yamewekwa na Kampuni ya Mantrac ya Nchini Misri.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Amani Abeid
Karume,akikata utepe kuashiria uzinduzi wa majenereta 32 ya umeme wa akiba yaliyowekwa na Kampuni ya Mantrac kutoka Nchini Misri,huko Kituo kikuu cha Umeme.
Amani Abeid Karume,akisisitiza jambo wakati alipotembelea Majenereta 32 ya Akiba,mara bada ya kuyazindua Huko Mtoni kituo Kikuu cha Umeme,(kulia) Mtaalamu wa Kampuni yaMantrac kutoka Nchini Misri Youseif Aly Youseif,Kampuni ya Mantrac ndioiliyoshuhulikia uwekaji wa Majenereta hayo,(kushoto) Waziri wa Maji,Ujenzi,Nishati na Ardhi,Mansour Yussuf Himidi




0 comments:
Post a Comment