Miss Universe Tanzania
2010 Hellen Dausen akkiwaonyesha wageni mbalimbali waliohudhuria
Fashion for Education ni vazi la Mmbunifu wa Mavazi kutoka nchini Afrika
Kusini, David Tlale ambapo vazi hilo liliuzwa kwa Tsh.milioni moja
ambapo hotel ya Double Tree Hotel ilinunua vazi hiyo kwa ajili ya
kuchangia Shule ya Kisarawe
Models walivaa mavazi
aliyobuni Ally Rehtullah wakipita jukwaani kuaga ma kuwashukuru wageni
waliohudhuria Zain Fashion for Education kwa ajili ya kuchangia shule ya
Kisarawe ambayo ina uhaba wa madarasa na walimu na maizngira yake
hayaridhishi kwa watoto kusoma fedha zilizopatikana katika kampeni hiyo
zitasaidia kuboresha mazingira ya shule hiyo na kuongeza walimu wa
kutosha hii yote ni kwa ajili ya maendeleo ya taifa letu tuwe na vijana
wasomi nchini kwetu Big up Ally Rehmtullah.





















0 comments:
Post a Comment