Hapa
M/kiti wa Jumuiya ya Wanafunzi Hyderabad Bw,Abdillah D.Nkya akisaini
baada ya kupokea rupees 10,000/= kutoka kwa balozi ambayo
aliahidi kuchangia mfuko wa jumuiya katika mahafali yaliyopita.
Hapa
Viongozi wakipata picha ya pamoja baada ya kumaliza kikao nje ya Hotel L FORTUNE PARK ...Kuoka kulia ni M/Kiti wa Jumuiya TSAH Bw ABDILLAH D NKYA,wa pili ni M/Kiti wa Kamatu ya Starehe TSAH Bw. DANIEL MSEMO na wa tatu ni M/Kiti wa Bodi TSAH Bw.
DANIEL MASIMBUSI
Hapa M/Kiti wa Jumuiya na M/Kiti wa Bodi wakiwa na Mjumbe wa Jumuiya Bw. Abel Tabagi nje ya Hotel ya HOTEL YA FORTUNE PARK baada ya kumaliza kikao na Balozi Mh.Kijazi.
Katika kikao hicho na Balozi Mh. Kijazi mengi yalizungumzwa kuhusiana na maendeleo ya Jumuiya ya Wanafunzi Hyderabad(TSAH)
0 comments:
Post a Comment