Leo ni Tarehe ya kuzaliwa kwa bwana DAVID SINGTON MATETE (PAPAA DAVID FALLI FELLIPE) wa DAR-ES-SALAAM TANZANIA.
Blogu hii inaunganana na Familia yake, ndugu jamaa na marafiki wote kumtakia kila la heri, siku njema iliyo na furaha, amani na upendo.
Mungu amjalie afya njema,maisha mrefu,hekima na busara katika siku za maisha yake.
HAPPY BIRTHDAY DAVID FELLIPE MATETE
Na ALLY S. MGIDO'S.
Sunday, June 6, 2010
HAPPY BIRTHDAY DAVID FELLIPE MATETE
Posted by
Ally Shaaban Mgido's
at
Sunday, June 06, 2010
Email This
BlogThis!
Share to X
Share to Facebook
0 comments:
Post a Comment