SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Tuesday, June 8, 2010

Mnuso wa Kuzaliwa kwa David Singston Matete(Papaa Fallii Fellipe) Usipimie


Ze-Kekiz Birtday Boi David akiwa kapigwa sopsop usoni kwa krimu ya keki huku akishoo lavu na kina sie.
Wakuu wa kitengo nao wakishoo lavu kwa pamoja.
".......Daahh yaani siamini,hivi kweli mie leo nimefikisha miaka kumi na ..... kweli????"
David akilia kwa uchungu huku mapaparazi wakijilambia taswirazz zao.kwani anaona kama vile uzee ndio unamsogelea kimtindo flani hiviiii..haha ahah ahaha David unalo hilo na mwakani tutasherekea nyingine ya kuongeza namba nyingine katika huo umri wako.
hata kina nanihii pia walihudhulia katika mnuso huo wa David kufikisha miaka kumi na .....
Hata mimi nimewaona,wewe huko umewaona??
Don anaimezea mate kweli kweli hiyo askirimu hapo usoni kwa Davie usione kama wameshoo lavu tuu hapo.
Wakati muafaka uliwadia na kila mtu alirekebisha menu na mambo yakaenda poa.
Meza Kuu.
mapozi katika picha ni kitu muhimu sana jamani ila basi tuu.
Picha ya Pamoja kwa wadau wooote ambao ni memba wa FaceBook waliohudhulia katika hafla ya kumpongeza David Singston Matete alieongeza namba moja katika umri wake wa siku zote.
Happy Birthday David
Na Othman michuzi.

0 comments:

Post a Comment