SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Monday, June 28, 2010

Iran yateketeza moto idadi kubwa ya dawa za kulevya
Sample ImageIran imeadhimisha Siku ya Kimataifa ya Kupambana na Dawa za Kulevya kwa kuteketeza moto tani nyingi za dawa za kulevya. Maafisa wa usalama wa Iran wanasema idadi ya dawa za kulevya zinazoingia Iran kutoka Afghanistan imeongezeka mara kadhaa tokea Marekani ilipoivamia nchi hiyo.
Vikosi vya Shirika la Kijeshi la Nchi za Magharibi NATO nchini Afghanistan vinadai kuwa vinapambana na dawa za kulevya nchini humo. Hii ni katika hali ambayo ukulima wa mpopi unaendelea kuwa biashara ya kuvutia zaidi katika miji mingi ya Afghanistan. 
http://kiswahili.irib.ir/

0 comments:

Post a Comment