Ajuza
akamatwa na kago la Bangi
Bi Kizee mwenye umri wa miaka 94 akiwa kabambwa na kago
la bangi lenye uzito wa kilo zaidi ya 10 akiwa kajifunga mwilini huko
Nogales, Arizona, Marekani. Hii inadhihirisha kwamba sio tu kazi ya
kubaini wanaosafirisha madawa ya kulevya si ndogo bali pia wanaofanya
kazi hiyo si lazima wawe vijana
Ukaguzi ukianza
kago alilokutwa nalo bibi.
michuzi blog




0 comments:
Post a Comment