Nyota
ya ngekwewa ya timu ya Simba imezidi kung'ara mwaka huu baada ya
mshambuliaji wake hatari, Mussa Hassan Mgosi, kuwatoa kidedea wana wa
Msimbazi kwa kufunga goli kwa njia ya penati katika dakika ya 90 ya
mchezo uliochezwa nchini Rwanda katika michuano ya kombe la klabu bingwa
Afrika Mashariki na kati baada ya timu hiyoya Simba kuibanjua timu ya
Atraco goli 2-1 mchezo uliomalizika jioni hii.
Goli la kwanza la Simba lilifungwa na mshabuliaji mpya wa timu hiyo mganda Robert Ssentongo aliyesajiriwa kutoka timu ya Azam FC ya jijini Dar es salaam,
Timu ya Atraco ilijipatia goli la kufutia machozi dakika ya 76 ya mchezo huo hivyo mpaka mwisho wa mchezo huo matokeo yalikuwa Simba ya Tanzania 2 na Atraco ya Burundi 1 hivyo Simba imejitengenezea mazingira mazuri ya kusonga mbele katika kundi lao kwenye michuano hiyo.

0 comments:
Post a Comment