
Jioni
ya jana pale maeneo ya
Kunduchi Hotel
kulikuwa na utengenezaji wa video mpya ya
Tip Top Connection inayoitwa
BADO TUNAPANDA. Video hiyo ilihudhuriwa na mastaa wengi wa
hapa bongo pamoja na mastaa wengine wa Filamu.
Kampuni ambayo
ilikuwa inatengeneza video hiyo ilikuwa ni
Visul Lab chini ya mtu mzima
Adamu Juma.

Shot ya
pili ilikuwa kwenye sehemu hivi kama watu wametulia wanapata mvinyo

Sehemu
ya tatu ikawa ya wasanii wa wote walioimba wimbo huo kukaa na baadhi ya
warembo

Sehemu
ya mwisho ni hii ambayo wasanii wa Tip Top kuanzia kushoto ni Tunda Man,
Deso, Keisha, Cassim na Madee kuimba wenyewe kwa pamoja.

Meneja
wa Tip Top babu Talle aliyevaa tishet ya Blue akikagua kazi
inavyokwenda.
Na DJ CHOKA .
0 comments:
Post a Comment