Rufaa ya mpachika mabao
mashuhuri wa Bayern Munich Franck Ribery kutaka adhabu yake ya kutocheza
mechi tatu baada ya kuoneshwa kadi nyekundu, imetupwa na mahakama
maalum inayosuluhisha masuala ya michezo na hataweza kucheza katika
fainali ya Jumamosi ya Ubingwa wa Ulaya dhidi ya Inter Milan.
BBC Swahili.
0 comments:
Post a Comment