SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Wednesday, April 16, 2014

VIDEO IKIONESHA JINSI DARAJA LA BARABARA YA BAGAMOYO LILIVYOKUWA LINAVUNJIKA


Mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar es salaam zaleta maafa na madhara makubwa.


Watu wanane wamepoteza maisha jijini Dar es Salaam,huku mawasiliano kati ya jiji la Dar-Es-Salaam na wilaya ya Bagamoyo mkoa wa Pwani yakisimama kwa zaidi ya siku tatu,mara baada ya tuta la barabara pembezoni mwa daraja la mto Mpiji kusombwa na maji umbali wa mita arobani na kuleta adha kwa wananchi wanao tumia barabara hiyo.