Meneja
Uhusiano wa Umma wa Nje na Mauzo ya Rejareja wa Vodacom Tanzania, Bw.
Salum Mwalim (wa pili kushoto) na Bi. Upendo Richard (katikati)
wakionyeshwa bidhaa zinazopatikana katika duka jipya la Vodacom
lililofunguliwa Tegeta katika jengo la Kibo Complex. Wa pili kulia ni
Bw. Francis Nanai ambaye ni mmiliki wa Duka hilo ambalo linakuwa ni la
78 kwa nchi nzima na la 16 kwa wilaya ya Kinondoni likiwa na huduma na
bidhaa mbali mbali za Vodacom.
Wednesday, March 19, 2014
VODACOM YASOGEZA HUDUMA ZAKE KWA WAKAZI WA TEGETA
Posted by
Ally Shaaban Mgido's
at
Wednesday, March 19, 2014
Email This
BlogThis!
Share to X
Share to Facebook
