SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Wednesday, March 19, 2014

Tazama Baadhi ya wajumbe wazuia uwasilishwaji wa rasimu ya katiba.


Uwasilishwaji wa rasimu ya katiba uliokuwa ufanywe na mwenyekiti wa tume ya mabadiliko ya katiba Mh jaji Joseph Warioba umeshindwa kufanyika baada ya baadhi ya wajumbe ambao ni wanachama wa umoja wa katiba ya wananchi kusimama na kuanza kuzomea ,kupiga makofi na kuzungumza bila ya utaratibu wa kipinga kuwasilishwa kwa rasimu hiyo kwa kile walichodai kuwa kanuni zimekiukwa.