SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Monday, March 17, 2014

VODACOM TANZANIA YATOA MSAADA YA MIAMVULI 20 KWA JESHI LA USALAMA BARABARANI‏

Mkaguzi Msaidi wa usalama barabarani kanda ya Kinondoni ,Byego Marwa  akipokea msaada wa miamvuli(20)kutoka kwa Menaja Uhusiano wa Umma wa  Vodacom Tanzania Matina Nkurlu, msaada huo utawawezesha askari wa usalama barabarani kujikinga na mvua wakiwa katika maeneo ya kazi,wanaoshuhudia wa pili kutoka kulia ni Tumaini  Kimaro, Simoni Lugangila na Emmanuel David. Hafla hiyo ilifanyika katika kituo cha Polisi Oysterbay jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.

Menaja Uhusiano wa Umma wa  Vodacom Tanzania Matina Nkurlu(kushoto)akifungua mmoja ya miamvuli(20)kabla ya kuikabidhi rasmi kwa Mkaguzi Msaidi wa usalama barabarani kanda ya Kinondoni ,Byego Marwa(kulia) msaada huo utawawezesha askari wa usalama barabarani kujikinga na mvua wakiwa katika maeneo ya kazi. Hafla hiyo ilifanyika katika kituo cha Polisi Oysterbay jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Mkaguzi Msaidi wa usalama barabarani kanda ya Kinondoni ,Byego Marwa  akipokea msaada wa miamvuli(20)kutoka kwa Menaja Uhusiano wa Umma wa  Vodacom Tanzania Matina Nkurlu, msaada huo utawawezesha askari wa usalama barabarani kujikinga na mvua wakiwa katika maeneo ya kazi,wanaoshuhudia wa pili kutoka kulia ni Tumaini  Kimaro, Simoni Lugangila na Emmanuel David. Hafla hiyo ilifanyika katika kituo cha Polisi Oysterbay jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Menaja Uhusiano wa Umma wa  Vodacom Tanzania,Bw. Matina Nkurlu(kushoto)akiongea mara baada ya kukabidhi msaada ya miamvuli(20)kwa Mkaguzi Msaidi wa usalama barabarani kanda ya Kinondoni ,Byego Marwa(kulia) msaada huo utawawezesha askari wa usalama barabarani kujikinga na mvua wakiwa katika maeneo ya kazi. Hafla hiyo ilifanyika katika kituo cha Polisi Oysterbay jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Askari wa usalama barabarani Tumaini Kimambo akiambatana na Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania,Matina Nkurlu,kuhifadhi miamvuli 20 iliyotolewa msaada na Vodacom Tanzania kwaajili ya kuwawezesha askari wa usalama barabarani kujikinga na mvua wakiwa katika maeneo ya kazi,Hafla hiyo ilifanyika katika kituo cha Polisi Oysterbay jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.