SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Monday, March 17, 2014

Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Watumishi Bw. George D. Yambesi Aongoza Mkutano wa Baraza La Wafanyakazi

  Sehemu yaWajumbe wakiimba wimbo wa mshikamano wakati wa mkutano wa Baraza la Wafanyakazi.
 Mkurugenzi wa Idara ya Uchambuzi na Ushauri Kazi Bw. Mick Kiliba akitoa mchango wake wakati wa mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma
  Mkurugenzi wa Idara ya Usimamizi Rasilimaliwatu Bw. Emmanuel Mlaya akitoa mchano wake wakati wa mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Rais, Utumishi.
 Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Watumishi akisikiliza hoja wakati wa mkutano, kulia ni Naibu Katibu Mkuu Bw. HAb Mkwizu
 Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Watumishi Bw. George D. Yambesi, katikati, akiendesha mkutano wa Baraza, kulia ni Naibu Katibu Mkuu Bw. HAB Mkwizu na kushoto ni Katibu Bi. Lilian Denis.
Mmoja wa wajumbe Suleiman Mafele anayetarajia kustaafu, kulia, akimuaga Katibu wa Baraza la Watumishi wa Ofisi ya Rais , menejimenti ya Utumishi wa Umma Bi. Lily Denis, katikati, kushoto ni Bw. Festus Mbwiro.