Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akikata utepe kufungua Kituo cha Afya Bumbwini Kiongwe,Jimbo la
Bumbwini Wilaya ya Kaskazini B,Mkoa wa Kaskazini Unguja jana,katika
shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akifungua pazia kukifungua Kituo cha Afya Bumbwini Kiongwe,Jimbo
la Bumbwini Wilaya ya Kaskazini B,Mkoa wa Kaskazini Unguja jana,katika
shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar,(kulia) Waziri wa Afya
Juma Duni Haji.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akipata maelezo kutoka kwa Daktari dhamana Abdulwahab
Mohamed,baada ya kukifungua Kituo cha Afya Bumbwini Kiongwe,Jimbo la Bumbwini Wilaya ya Kaskazini B,Mkoa wa Kaskazini Unguja jana,katika shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akimuuliza suala Daktari wa huduma za Mama na Mtoto,Halima
Abdalla Saidi,wakati alipotembelea sehemu mbali mbali zinazotoa huduma
katika kituo cha Afya Bumbwini Kiongwe,Jimbo la Bumbwini Wilaya ya
Kaskazini B,Mkoa wa Kaskazini Unguja,baada ya kukifungua jana,katika
shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar.
Wasoma
Utenzi kutoka Kiwengwa kaskazini B,Ashura Abdalla na Pili Pandu,wakitoa
burudani yao wakati wa ufunguzi wa Kituo cha Afya Bumbwini Kiongwe
jana, na mgeni Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,katika katika shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar, [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,katika katika shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar, [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Wananchi wa Kijiji cha Bumwini Kiongwe,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa
akizungumza baada ya kukifungua Kituo cha Afya kijijini hapo jana,
katika katika shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar,
Wafanyakazi
wa Wizara ya Afya katika vituo mbali mbali waliofika kujumuika na
wafanyakazi wa kituo cha Afya Bumbwini Kiongwe,Jimbo la Bumbwini Wilaya
ya Kaskazini B,Mkoa wa Kaskazini
Unguja,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa akizungumza baada ya kukifungua Kituo hicho jana, katika katika shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar,

Katibu
wa Halmashauri Jimbo la Bumbwini Hassan Ali Kombo,akisoma risala wakati
wa sherehe za ufunguzi wa Kituo cha Afya Bumbwini Kiongwe jana, na
mgeni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein,katika katika shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi
Zanzibar,
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,alipokuwa akizungumza na wananchi wa Bumbwini Kiongwe
jana,alipofungua kituo cha Afya kijiji hapo,katika katika shamra shamra
za miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar,(kushoto) Katibu Mkuu Wizara ya Afya
Dk.Saleh Mohamed Jidawi,na Waziri wa Afya Juma Duni Haji,
[Picha na
Ramadhan Othman,Ikulu.]
0 comments:
Post a Comment