Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Taaluma wa Shirika la
Engender Health, Feddy Mwanga, wakati alipotembelea katika Banda hilo la
maonyesho katika Mkutano wa Kitaifa wa Uzazi wa Mpango na Uzinduzi wa
Kampeni ya Nyota ya Kijani, uliofanyika leo kwenye Ukumbi wa Mliman
City, Dar es Salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisikiliza maelezo wakati alipotembelea kwenye Banda la maonyesho la
PSI, wakati alipotembelea katika Banda hilo la maonyesho katika Mkutano
wa Kitaifa wa Uzazi wa Mpango na Uzinduzi wa Kampeni ya Nyota ya Kijani,
uliofanyika leo kwenye Ukumbi wa Mliman City, Dar es Salaam.
Makamu
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisikiliza maelezo kutoka kwa Balozi wa Marie Stops Tanzania, Narietha
Boniface, na Miss Tanzania 2013, wakati alipotembelea katika Mabanda la
maonyesho la Marie Stops, alipokuwa akitembelea mabanda ya maonyesho
kwenye Mkutano wa Kitaifa wa Uzazi wa Mpango na Uzinduzi wa Kampeni ya
Nyota ya Kijani, uliofanyika leo kwenye Ukumbi wa Mliman City, Dar es
Salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akibonyeza kitufye cha Laptop kuashiria kufungua rasmi Mkutano wa
Kitaifa wa Uzazi wa Mpango na kuzindua rasmi Kampeni ya Nyota ya Kijani,
wakati wa mkutano huo uliofanyika leo kwenye Ukumbi wa Mlimani City,
jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Waziri wa Afya na Ustawi wa Jambii,
Dkt. Hussein Mwinyi.
Mwenyekiti wa TACAIDS, Fatma Mrisho, akizungumza wakati wa mkutano huo.
Waziri
wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dkt. Hussein Mwinyi, akizungumza machache
kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi, Makamu wa Rais, kuhutubia kwenye
mkutano huo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisoma hotuba yake wakati akifungua rasmi Mkutano wa Kitaifa wa Uzazi
wa Mpango na kuzindua rasmi Kampeni ya Nyota ya Kijani, wakati wa
mkutano huo uliofanyika kwenye Ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es
Salaam.
Sehemu ya washiriki wa mkutano huo wakimsikiliza Makamu wa Rais, Dkt. Bilal, wakati akiwahutubia kwenye Mkutano huo
Msanii
Mrisho Mpoto, akitoa burudani yenye ujumbe wa Uzazi wa Mpango mbele ya
mgeni rasmi wakati wa mkutano huo uliofanyika kwenye Ukumbi wa Mliman
City Dar es Salaam, leo.
Msanii
Mrisho Mpoto, akitoa burudani yenye ujumbe wa Uzazi wa Mpango mbele ya
mgeni rasmi wakati wa mkutano huo uliofanyika kwenye Ukumbi wa Mliman
City Dar es Salaam, leo.
Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais
0 comments:
Post a Comment