SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Wednesday, February 1, 2012

MKUTANO WA PILI WA WADAU WA NSSF WAANZA LEO JIJINI ARUSHA

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi za Jamii (NSSF),Dkt. Ramadhan Dau akizungumza wakati wa mkutano wa pili wa wadau wa NSSF ulioanza rasmi asubuhi ya leo katika ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC,jijini Arusha.
Mkurugenzi Muendeshaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi za Jamii (NSSF),Crescentius Magori akitoa mada mbali mbali za kikao cha kwanza cha Mkutano wa pili wa Wadau wa NSSF ulioanza rasmi asubuhi ya leo katika ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC,jijini Arusha.

Mwenyekiti wa Mkutano wa pili wa Wadau wa NSSF,Omari Ayoub Juma akiongoza mkutano huo ulioanza rasmi asubuhi ya leo katika ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC,jijini Arusha.
Mwenyekiti wa Mkutano wa pili wa Wadau wa NSSF,Omari Ayoub Juma (wa pili kushoto) akizungumza wakati wa mkutano huo ulioanza rasmi asubuhi ya leo katika ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC,jijini Arusha.Wengine pichani ni kutoka kulia ni Waziri wa Kazi,Mh. Gaudencia Kabaka,Mwenyekiti wa Bodi ya NSSF,Aboubakar Rajab na Mkurugenzi Mkuu wa NSSF,Dkt. Ramadhan Dau.
Mkurugenzi wa Uwezeshaji,Mipango na Miradi wa Shirika la Taifa la Hifadhi za Jamii (NSSF),Yakoub Kidula akitoa mada ya Namna Shirika la NSSF linavyowekeza sehemu mbali mbali wakati wa kikao cha pili cha Mkutano wa pili wa Wadau wa NSSF ulioanza rasmi asubuhi ya leo katika ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC,jijini Arusha.
Muwakilishi kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma,Julius Lugemarila akizungumzia mafanikio ya Chuo chake hicho kilichojengwa na Shirika la Taifa la Hifadhi za Jamii (NSSF) wakati wa Mkutano wa pili wa Wadau wa NSSF ulioanza rasmi asubuhi ya leo katika ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC,jijini Arusha.
Muwakilishi wa Kagera Suger akizungumza wakati wa Mkutano wa pili wa Wadau wa NSSF ulioanza rasmi asubuhi ya leo katika ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC,jijini Arusha.
Mbunge wa Mwibara,Mh. Kangi Alphaxad Ndege Lugola akichangia mada kwenye Mkutano wa pili wa Wadau wa NSSF ulioanza rasmi asubuhi ya leo katika ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC,jijini Arusha.
Kwa Habari Na Picha Zaidi BOFYA HAPA

0 comments:

Post a Comment