Makamu wa Kwanza wa Rais wa
Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini
Magharibi Abdallah Mwinyi Khamis pamoja na viongozi wengine, wakati
akiwasili nchini akitokea India kwa uchunguzi wa kawaida wa afya yake.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa
Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akisalimiana na viongozi mbali mbali,
wakati akiwasili nchini akitokea India kwa uchunguzi wa kawaida wa afya
yake.
Mke wa Makamu wa Kwanza wa Rais wa
Zanzibar Mama Awena Sinani Masoud (kulia), alionesha uso wa bashasha
baada ya kuwasili nchini akitokea India.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa
Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akisawapungia mkono wananchi
waliojitokeza kumpokea, wakati akiwasili nchini akitokea India kwa
uchunguzi wa kawaida wa afya yake.
Picha na Salmin Said-Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar
Picha na Salmin Said-Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar
0 comments:
Post a Comment