SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Thursday, June 6, 2013

Kuagwa kwa mwili wa Albert Mangweha “Ngwair”


Hivi ndivyo Safari ya Mwisho ya Marehemu Albert Mangwea ilivyokuwa
Pichani ni Kamati ya Mazishi ya Marehemu Albert Mangwea.
 Watu mbali mbali walijitokeza kumuaga Mangwea kwenye Viwanja vya Leaders jijini Dar leo.
 Ommy Dimpoz akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa Marehemu Mangwea.


 Wasanii mbali mbali
 Wadau.
 Ndugu na jamaa wa Marehemu Mangwea.
 Mazungumzo ya hapa na pale.
 DJ Venture akimzungumzia Marehemu Mangwea.
Wasanii mbali mbali wakiwa viwanjani hapo.
 Wadau.
 Ulinzi ulikuwa ni wakutosha kabisa.




















0 comments:

Post a Comment