SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Sunday, September 30, 2012

Mdau Sunday Shomari Alikacha Rasmi Kundi La Ukapera

Sunday Shomari akiwa ni mwenye Furaha baada ya Kuchukua jumla mchana wa jana
 Mdau Sunday Shomari akiwa na Mai waifu wake Elinita Mhando wakati wa Ndoa yao iliyofanyika jana katika kanisa la Mt. Emmaculata,Upanga jijini Dar es Salaam.
(Picha Na Habari na Ankal Michuzi-Matukio Blog)

BONDIA FRANCIS CHEKA AMCHAKAZA KALAMA KWA K.O

Bondia Francis Cheka akinyooshwa mkono juu na mmoja wa mashabiki wa Kigeni waliokuja kuangalia mpambano wake dhidi ya Kalama Nyilawila. Cheka alishinda katika raundi ya sita baada ya Kalama kusalimu amri, kushoto ni Rais wa PST Emmanuel Mlundwa na wa pili kulia ni mgeni rasmi Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum Mkoa wa Dar es Salaam, Suleiman Kova.
Bondia Francis Cheka kushoto akipepesuka baada ya kupigwa ngumi na Kalama Nyilawila wakati wa mpambano wao uliofanyika jana usiku. Cheka alishinda kwa K.O raundi ya sita na kufanikiwa kunyakuwa ubingwa.
Bondia Cheka (kushoto) akimshambulia Kalama Nyilawila kwa masumbwi wakati wa mpambano wao uliofanyika jana usiku. Cheka alishinda raundi ya sita baada ya Kalama kashindwa kuendelea.
Bondia Kalama Nyilawila (kulia) akijitahidi kukwepa makonde ya mpinzani wake Francis Cheka wakati wa mpambano wao uliofanyika jana usiku.
Mabondia Kalama na Francis Cheka wakizidi kutupiana masumbwi.

AFRICAN GREEN REVOLUTION FORUM HONOURS LEADERS IN THE DEVELOPMENT OF AFRICA’S AGRICULTURAL ECONOMY.


President Jakaya Kikwete of Tanzania, Kofi Annan and Jørgen Ole Haslestad of Yara International with Yara Prize recipients.

Leaders and visionaries in promoting a Green Revolution in Africa were honoured last night at the African Green Revolution Forum (AGRF) (http://www.agrforum.com) Awards gala dinner in Arusha. The AGRF Awards recognize Africa’s top leaders in the quest to create awareness of public/private initiatives to build a sustainable African agri-business industry, inspire a Green Revolution in Africa and make Africa food and nutrition secure.

The following individuals and organizations were recognized for their commitment and excellence in the following areas:

 -Media and Journalism – Joshua Kato, Uganda

-Private Sector Organizations – Neema Agricole du Faso (Nafaso), Burkina Faso

 -Farmer Organizations – Faso Jigi, Mali

 -Academia & Research Institutions –The African Centre for Crop Improvement, at the

University of KwaZulu-Natal, South Africa; and Makerere University, Uganda

 -Advocacy Organizations – Rural Urban Development Initiatives (RUDI), Tanzania

 -Youth & Women – Africaworks, Mozambique

Dr. Namanga Ngongi Receives Lifetime Achievement Award

The AGRF Lifetime Achievement Award was presented to Dr. Namanga Ngongi for his contribution to the transformation of Africa’s agricultural sector. Dr. Ngongi has had a diverse career in both agriculture and security, beginning in his native Cameroon, where he worked as an agricultural extension officer for the Ministry of Agriculture, helping farmers to improve yields and to diversify and market their crops. Following this position, he served in a number of roles: he was attached to the Cameroon Embassy in Rome, served as Deputy Executive of the World Food Programme, and was appointed as Undersecretary-General and Special Representative and Head of the UN Peacekeeping Mission in the Democratic Republic of Congo. Dr. Ngongi was the first full-time President of the Alliance for a Green Revolution in Africa (AGRA), retiring in 2011.

YARA Prize 2012 Awarded to Female African Leaders

The highlight of the AGRF Gala Awards was the YARA Prize – the Grand Prix for outstanding contributions to enhancing agricultural growth and food security in Africa, and driving an African-led Green Revolution in Africa.

Yara International awarded the Yara Prize 2012 to Dr. Agnes Kalibata, Minister of Agriculture and Animal Resources in Rwanda, and to Dr. Eleni Gabre-Madhin, outgoing CEO of the Ethiopian Commodity Exchange (ECX) in Ethiopia.  Dr. Kalibata and Dr. Gabre-Mahdin were awarded the Yara Prize for their work in ground-breaking areas for the African Green Revolution.

Dr. Kalibata was recognized for her outstanding leadership in the transformation of food security and agricultural development in Rwanda.  Dr. Gabre-Mahdin was honoured for her remarkable stewardship of the transformation process toward an efficiently functioning market, especially for smallholder coffee producers in Ethiopia.

Baadhi ya Majina na Matokeo ya Chaguzi za CCM-NEC

 Bw Frederick Lameck Mwakalebela
  Bw. Salim Abri Asas
 Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Iringa mjini Abed Kiponza ambaye ameshinda  tena  kiti  hicho
 Laurance Masha
  Phares Magesa

LIGI KUU YA VODACOM SASA MAMBO SAFI

Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa Vodacom, Kelvin Twissa akiongea na wanahabari (hawapo pichani).
http://www.sabc.co.za/wps/wcm/connect/38bd76004863bdecac51ed2e2bffbc79/VodacomP.jpg?MOD=AJPERES&CACHEID=38bd76004863bdecac51ed2e2bffbc79
Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
•    Sintofahamu kati ya TFF na Klabu zafikia mwisho.
•    Vodacom yatoa fedha na Vifaa kwa timu zinazoshiriki ligi kuu.
•    Yaahidi makubwa zaidi.


Dar es Salaam, 30 Septemba, 2012. Kufuatia kukaa katika kikao cha majadiliano kati ya Mdhamini mkuu wa ligi kuu Vodacom Tanzania, kamati ya ligi, TFF na vilabu vinavyoshiriki ligi hiyo, Mashabiki na wapenzi wa soka nchini wameondolewa hofu juu ya udhamini wa ligi inayoendelea hivi sasa.

Mdhamini mkuu wa ligi hiyo Vodacom Tanzania, imekubali kuendelea kuunga mkono ligi hiyo na kuwaomba mashabiki wa soka kutegemea msimu mzuri wa ligi mwaka huu.
Kwa mujibu wa Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Kelvin Twissa, amesema kuwa mvutano ambao umekuwepo baina ya baadhi ya Vilabu vya soka na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) pamoja na wadhamini sasa yamepatiwa ufumbuzi.
“Kulikuwa na sinto fahamu kati ya Klabu za ligi kuu TFF na sisi kama wadhamini, tulikaa kikao siku ya ijumaa na wadau wote wa ligi na sasa mambo yote yamewekwa katika msitari,” alisema Kelvin na kuongeza kuwa “ Tumedhamiria kuendelea kuiunga mkono Ligi kuu ya Vodacom hatukuwa na matatizo yoyote katika kusaini mkataba na kamati ya ligi ni ufafanuzi tu ndio ulihitajika  ili kuwekana sawa,” alisema Twissa.
Kuhusiana na kutolewa kwa fedha za udhamini na uendeshaji wa ligi na udhamini wa kampuni pinzania twissa alisema Vodacom haizuii klabu za ligi kudhaminiwa na kampuni nyingine yoyote tofauti na zile zenye msingi wa kiushindani katika biashara na kampuni hiyo.
“Kufuatia kikao hicho na kuwa katika msitari mmoja tumekwisha toa fedha na vifaa kwa TFF na vilabu ili ligi iweze kwenda kama ilivyo takiwa,Tukiwa kama wadau katika kuunga mkono maendeleo ya soka nchini, tumeruhusu kampuni nyingine ambazo hazina upinzani wa kibiashara na sisi ili kuondoa muingiliano wa kimaslahi,” alisema.
“TFF inadhamana ya kusimamia sheria na masharti kuhusu ligi. Hatuna matatizo yoyote ya kiutendaji na TFF wala klabu yoyote” alihitimisha Twissa.
Ligi kuu ya Vodacom ilianza rasmi tarehe 15  mwezi septemba, na tutashuhudia michezo 182 kwa kushirikisha timu 14 zinazoshiriki katika ligi hiyo, zikiwemo Yanga Afrika, Kagera sugar, na Simba ambaye ndie bingwa mtetezi wa ligi kuu ya Vodacom.
Kampuni ya Vodacom imekuwa mdhamini wa ligi kuu kwa miaka mitano sasa, na imesaini mkataba mpya wa udhamini wa ligi hiyo kwa miaka mitatu na shirikisho la mpira wa miguu TFF, mkataba utakao shuhudia shirikisho hilo likipokea udhamini wa kila msimu kwa miaka mitatu mfululizo.

VIINGILIO MECHI YA SIMBA NA YANGA OKTOBA 3, 2012


Release No. 158
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Septemba 29, 2012

Kiingilio cha chini kwenye mechi ya Yanga na Simba itakayochezwa Jumatano (Oktoba 3 mwaka huu) Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kitakuwa sh. 5,000 kwa viti vya rangi ya kijani ambavyo ni 19,648 kwenye uwanja huo wenye uwezo wa kuchukua watazamaji 60,000.
Mechi hiyo namba 80 ya Ligi Kuu ya Vodacom itachezwa kwenye uwanja huo kuanzia saa 11 kamili jioni. Watazamaji watakaotaka kuona mechi hiyo wakiwa wameketi kwenye viti vya rangi ya bluu ambavyo ni 17,045 watalipa sh. 7,000 kwa tiketi moja.
Viingilio vingine kwenye mechi hiyo ni sh. 10,000 kwa viti vya rangi ya chungwa ambavyo viko 11,897 wakati VIP C inayochukua watazamaji 4,060 itakuwa sh. 15,000. Kwa upande wa VIP B tiketi ni sh. 20,000 na VIP A yenye watazamaji 748 tu kiingilio kitakuwa sh. 30,000.
Boniface Wambura
Ofisa Habari
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)

January Makamba:Sina Mpango Wa Kugombea Urais

January Makamba ndani ya studio za Magic FM akihojiwa na Fina Mango Mheshimiwa 
January Makamba akijibu moja ya maswali aliyoulizwa na Fina Mango 
 Fina na January Makamba baada ya kipindi cha Makutano
****

RAIS KIKWETE AONANA NA UJUMBE WA MWAPORC IKULU DAR ES SALAAM LEO

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiuonesha njia za reli katika ramani ya Tanzania ujumbe toka kampuni ya Mwambani Port and Railway Corridor Company (MWAPORC) uliomtembelea leo Septemba 29, 2012 Ikulu jijini Dar es salaam kumweleza nia yao ya kutaka kuwekeza katika sekta ya reli. 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na ujumbe toka kampuni ya Mwambani Port and Railway Corridor Company (MWAPORC) uliomtembelea leo Septemba 29, 2012 Ikulu jijini Dar es salaam kumweleza nia yao ya kutaka kuwekeza katika sekta ya reli. 
 PICHA NA IKULU

Saturday, September 29, 2012

Hon. Minister for Foreign Affairs and International Co-operation Bernard K. Membe Addresses UN General Assembly

Foreign Minister of Tanzania Addresses General Assembly
Hon. Bernard K. Membe (MP), Ministry of Foreign Affairs and International Co-operation addresses the United Nations General Assembly earlier today on behalf of H.E. Jakaya Mrisho Kikwete, President of the United Republic of Tanzania.  (This photo is courtesy of UN/J Carrier) 
Hon. Bernard K. Membe (MP) (right), Minister for Foreign Affairs and International Co-operation reading statements from various delegates together with Hon. Mathias Chikawe (MP) (center), Minister for Constitutional  and Legal Affairs.  Left is Hon. Abubakar Khamis Bakary, Minister for Justice and Constitutional Affairs in Zanzibar.  

Watakao uongozi wa ANC wajitaje

Chama tawala cha Afrika Kusini, ANC, kimefungua daftari la watu wanaotaka kuania uongozi wa chama, ambao utaaniwa tena mwezi Disemba.
Rais Jacob Zuma anatarajiwa kupingwa na naibu wake, Kgalema Motlanthe kuania urais.
Wanachama milioni 1.2 wa ANC watachagua nani wa kumuunga mkono.
Katika miaka ya karibuni watu wa kabila la Zulu, kabila la Rais Zuma, wameingia kwa wingi zaidi kwenye chama; lakini wadadisi wanasema rais Zuma atapata shida kushikilia wadhifa wake.
Uchumi wa Afrika Kusini umezorota, na mauaji ya wachimba migodi yaliyofanywa na polisi yamepunguza hadhi ya Rais Zuma. 
Habari Na BBC SWAHILI

Spain Flash Floods: Death Toll Rises To Nine


At least seven people are dead after flash flooding swept through parts of southern Spain that have been suffering from two years of drought. In three days, 110 milimetres of rain, five times the average monthly rainfall, hit the Malaga region. Al Jazeera's Mereana Hond reports.
****

Mkakati Wa Kenya Somalia Wasonga Mbele


Waziri wa uLinzi wa Kenya, Mohamed Yusuf Haji (kulia) na Waziri  Mkuu, Raila Odinga (kati)
Wakati majeshi ya Kenya na Somalia yanakaribia mji wa Kismayo, sehemu ya mkakati wa miaka mingi wa Kenya karibu kukamilia.

Mpango wa kuwa na eneo la salama la kuzunguka mipaka ya Kenya karibu kukamilia:
Kwa miaka mingi, imekuwapo siri ambayo siyo siri tena, kwamba Kenya itapenda kuona taifa salama linaundwa nje ya mpaka wake na Somalia.
Huo ndio unaitwa makakati au mradi wa Jubaland.
Mpango huo unaungwa mkono na Wasomali wa Kenya.
Kati ya hao ni Waziri wa Ulinzi wa Kenya, Mohamed Yusuf Haji na mwanawe, Nuradin Yusuf, afisa wa ujasusi katika jeshi la Kenya.
Wote hao wanatokana na koo za Ogaden, ambazo zimetapakaa kaskazini mwa Kenya, kusini mwa Somalia na katika jimbo la Wasomali mashariki mwa Ethiopia.
Lakini kulikuwa na tatizo moja kubwa katika kuunda Jubaland, nalo ni upinzani wa Ethiopia.
Tangu miaka ya 1980, Waethiopia wamekuwa wakipigana vita na kundi la ONLF, wapiganaji wa jimbo la Ogaden.
Serikali ya Ethiopia inapinga kabisa wazo hilo la kuwa na Jubaland, ikiwa itaruhusu ONLF kuwa na kambi kupigana na majeshi ya Ethiopia.
Kwa hivo awali mwezi huu Waziri wa Ulinzi wa Kenya alipatanisha na kuleta makubaliano baina ya wapiganaji hao na serikali ya Ethiopia.
Kwa hivyo kikwazo cha mwisho dhidi ya mradi wa Jubaland sasa kimeondoka, na hivo kusukuma shambulio la hivi sasa dhidi ya Kismayo.
Tatizo moja limebaki: watu wa Kismayo siyo wa koo za Ogaden, na hiyo ndio sababu moja watu waliunga mkono al-Shabaab.
Kenya itabidi kusikiliza wasiwasi wao, ikiwa inataka kufanikiwa kukamilisha mradi wa Jubaland
Chanzo: BBC SWAHILI

Chaneli ya Super Sport yaitangaza Tanzania michezoni Kimataifa

Meneja Mkuu wa Multichoice Tanzania Bw. Peter Fauel akifafanua ujio wa Super Sport nchini Tanzania na kuipongeza TFF kwa kuonyesha ushirikiano na kuwa Chaneli hiyo itaonyesha mechi tano za Ligi ya Tanzania kuanzia leo Ijumaa Septemba 28 hadi Jumatano Oktoba 3 mwaka 2012.
Mkuu wa Super Sport barani Afrika Bw. Andre Venter akielezea furaha yake kuja Tanzania na kupata fursa ya kulitangaza soka la Tanzania kimataifa kupitia chaneli ya Super Sport amesema chaneli hiyo imechafanya kazi katika nchi za Kenya na Uganda na Sasa ni wakati wa Tanzania kuonyesha kiwango chake cha soka Kimataifa.

RAIS KIKWETE AAGANA NA MABALOZI WA CUBA NA IRAN

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Balozi wa Iran nchini Tanzania aliyemaliza muda wake 

Mhe Mohsen Movahhedi Ghomi leo Septemba 28, 2012  Ikulu Dar es salaam

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Balozi wa Cuba  nchini Tanzania aliyemaliza muda wake

 Mhe Ernesto Gomes Dias leo Septemba 28,  2012 Ikulu jijini DAr es salaam Dar es salaam.
Mazungumzo yakiendelea

Picha na IKULU

Zitto Kabwe:Narudia, Sitagombea Ubunge.Mwaka 2015

Narudia, mwaka 2015 sitagombea Ubunge. Nitafanya kampeni ya Urais, ama mimi kama mgombea wa chama changu CHADEMA au kama mpiga debe wa mgombea wa chama changu. 
Miaka 10 ya Ubunge inatosha na kwa ngazi hiyo ni vema niwaachie wengine wasukume mbele gurudumu la maendeleo ya Jimbo na mkoa wetu. Huu ndio uamuzi wangu wa mwisho na nimeshawaeleza wananchi wa Jimbo langu na mkoa wa Kigoma toka mwaka 2005.
 (Inatoka kwenye ukurasa wake wa Face Book)
CREDIT TO HAKI NGOWI

KOCHA MPYA WA YANGA AAHIDI KUIPA MATOKEO MAZURI KLABU


Brandts kulia akizungumza na Waandishi, kushoto ni Sanga
====

Waititu Aachiliwa Kwa Dhamana

Mahakama ya Nairobi imeamwachilia Mbunge wa Embakasi Ferdinand Waititu kwa dhamana ya shilingi milioni moja. Hakimu Mkuu Mwandamizi Paul Biwott hata hivyo alimwagiza Waititu kujiwasilisha katika kituo cha polisi cha Kayole ili kuchukuliwa alama za vidole. Akikubali ombi la Waititu la kuachiliwa kwa dhamana, Biwott alisema kwamba katiba inamruhusu mtu yeyote kuachiliwa kwa dhamana na hivyo basi kumwagiza kulipa pesa hizo. Vile vile Waititu atahitajika kulipa shilingi laki moja zaidi, katika kesi nyingine ya uchochezi inayomkabili.
SOURCE:
CLICK HERE

Wanajeshi Wa Kenya Wateka Mji wa Kismayu

Wanajeshi wa Kenya kwa ushirikiano na wenzao wa Somalia chini ya mwavuli wa vikosi vya kijeshi vya AMISOM hatimaye wameuokomboa mji wa Kismayu nchini Somalia. Wanajeshi hao waliikomboa Kismayu ambayo ndiyo ngome ya wanamgambo wa Al Shabaab. Ukombozi huu umetajwa kuwa ni ufanisi mkubwa kwa vikosi hivi vya wanajeshi ikizingatiwa kuwa mji wa Kismayu ndio ulikuwa lengo kuu tangu oparesheni linda nchi kuanzishwa mwezi Oktoba mwaka jana.
SOURCE: CLICK

Thursday, September 27, 2012

Hali ni Tete uwanja wa Kilombero matairi yachomwa moto, Polisi watoa onyo wananchi watawanyike kwa amani


 Umati wa watu wakiwa wanaandamana kuvunja uzio na kuweka soko  mikononi mwao
   Hapa Wakati wanachoma Mbao pamoja na Mataili wananchi wengine wanabomoa bomoa uzio
  Hivi Ndivyo wananchi wanavyo Choma matail muda huu eneo la uwanja wa Kilombero ambao uliuzwa kinyemela na sasa wananchi wamerudisha na kulifanya soko.
CREDIT TO H@ki Ngowi

UZINDUZI WA TIGO MAMA AFRIKA SARAKASI WAFANA JIJINI DAR ES SALAAM

... ilikuwa ni maajabu na kweli.
 
Kijana mwingine alionyesha umahili wake ni huyu kama vile unavyomuona.

Dubai Husband Throws Wife From The Balcony!!

Dubai buildings
A businessman allegedly attempted to kill his wife by throwing her out of their second-floor hotel apartment in Dubai, UAE newspaper Xpress reported.

The wife, 18, from Tajikistan, survived the attack and lived to tell court how a heated argument with her 37-year-old husband nearly cost her her life.

“I reached the hotel around 8pm. But since my husband was not there, a hotel staff opened the apartment door for me. Then my husband came and started talking about his work,” she was quoted as saying by Xpress.

“Then he became so infuriated that he started hitting me on my head with his fist. I begged him to stop as I was carrying our new-born baby,” she added.

The heavily drunk husband, then urinated on his 18-year-old wife and their newborn daughter, before pushing his spouse out of the balcony, the report claimed.

The husband denied charges of attempted murder but admitted that he was intoxicated at the time of the alleged incident.

He will appear before court once again on October 10.
SOURCE: CLICK

Filipino Boy Wins $130,000 Peace Prize

The obstacles seemed insurmountable for a 13-year-old Filipino street kid. Forced to scavenge for his survival from the age of 2, sleep in a coffin and run away to seek help after he was badly injured, Cris "Kesz" Valdez had every reason to merely look out for himself. But at age 7, he started a foundation, the Championing Community Children charity, to help fellow homeless kids, and his selfless work has been recognized with the $130,000 Children's Peace Prize. "You are wonderful," Nobel Peace laureate Desmond Tutu told the young philanthropist at a ceremony at The Hague. According to the KidsRights Foundation, Cris has helped about 10,000 kids by distributing flip-flops, toys, sweets and clothes in Cavite City, just 18 miles south of the capital Manila. "My message to children around the world is not to lose hope," he said. Cris also wants to educate them on good hygiene and their rights. The prize money will go to fund charities of his choosing. Cris would like to get an education and eventually become a doctor. Cris's plight is not unique in his country. About 246,000 street children in the Philippines are subjected to abuse, violence and child labor.

Wednesday, September 26, 2012

Man Kills 5 Sons In Kuresoi Nakuru Kenya Video

A village in Kuresoi in Nakuru county is still in shock after a 46 year old man, killed his five children one by one using a knife on Monday night before committing suicide. The five boys aged between 2 and 10 including twins aged nine are said to have been killed in their sleep by the late Kiprono Kirui, hours after a domestic dispute with his wife of many years, who fled their matrimonial home in the night, as Judy Kosgey reports.By kenyacitizentv

Tuesday, September 25, 2012

Wanafunzi wa Ilboru waandamana, Naibu Waziri azuru na kumsimamisha kazi Mwalimu mlevi

Naibu waziri wa elimu na ufundi ofisi ya waziri mkuu TAMISEMI akiwa anaongea na wanafunzi wa shule ya sekondari ya Ilboru



Leo, Jumanne, Septemba 25, 2012 - 
Woinde Shizza, Arusha
 ==== 
Naibu Waziri wa elimu na ufundi Kassim Majaliwa amemsimamisha kazi mwalimu wa shule ya Sekondari ya vipaji Maalumu ya Ilboru Mkoani Arusha mara baada ya kukutwa akiwa amelewa shuleni hapo wakati wa kazi.

Hatua hiyo imekuja mara baada ya Naibu Waziri huyo kufanya ziara ya kawaida shuleni hapo kutafuta ufumbuzi wa tatizo la wanafunzi lililosababisha kuandamana hadi ofisi ya Mkuu wa Mkoa na kugoma kuingia darasani.

Majaliwa alilazimika kufanya hivyo wakati akiongea na walimu wa shule hiyo juu ya chanzo cha mgogoro huo, ambapo mwalimu huyo, Potin Jovita Sumawe, alinyanyuka na kuanza kuongea kama mtu aliyechanganyikiwa mbele ya Waziri huyo,
“Nimemuagiza afisa utumishi kumpeleka hospitalini kwa ajili ya kupimwa kama anamechanganyikiwa na ripoti iliyoletwa kwangu ni kuwa alikuwa amelewa hivyo tunamsimamisha kazi na kuanza kupitia faili lake tuone kama anaweza kuonyeka ama la!”alisema Majaliwa.

Aliongeza kuwa watumishi wote hawatakiwi kwenda kazini wakiwa wamekunywa au wametumia kilevi cha aina yoyote huku akisisitiza kuwa mahali pa kazi sio mahali pa kunywa pombe na kwa kufanya hivyo ni kuvunja sheria ya utumishi wa umma, “Kama mtumishi wa umma anavunja sheria kwa kunywa pombe kazini atachukuliwa sheria kwa kuwa hata yule mtoto aliyekabidhiwa kumfundisha anamfundisha kwa misingi ipi? Wafanye kazi kwa maadili mema!” Alisema Majaliwa.

Aliongeza kuwa hii sio hapa tu bali sehemu yeyote mfanyakazi wa Serikalini au sekta binafsi haruhusiwi kufanya kazi akiwa  amelewa, hivyo mtu yeyote akikutwa katika hali hiyo, anastaili kufukuzwa kazi.

Wizi Wa Vifurushi Vya Abiria Na Wateja Katika Kiwanja Cha JKNIA Video

CHIKAWE ALONGA UMOJA WA MATAIFA

Waziri wa Katiba na Masuala ya Sheria, Mhe. Mathias Chikawe ( Mb ) akipitia kwa mara ya mwisho hotuba yake kabla ya kuisoma, wakati wa mkutano wa kilele wa Umoja wa Mataifa uliokuwa ukajadili Utawala wa Sheria katika Ngazi ya Kimataifa na Kitaifa, katika hotuba yake katika mkutano huo ambao ulifunguliwa na Katibu Mkuu, Ban Ki Moon, na kuhutubiwa na Viongozi wakuu wa nchi na serikali wakiwamo Mawaziri kutoka nchi 80, alielezea namna ambavyo Jamhuri ya Muungano imekuwa ikizingatia utawala wa sherika katika ngazi ya taifa, kanda na kimataifa na akaelezea pia mchakato unaoendelea wa maandalizi ya Katiba mpya. wengine katika picha kuanzisha kulia ni Mhe. Abubakari khamisi Bakari,(Mb) Waziri wa Sheria na Masuala ya Katiba kutoka Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mhe, Musa Hassan Mussa ( Mb) kutoka Zanzibar na waliokaa nyuma ni wataalam wa sheria.
Mhe. Mathias Chikawe ( Mb) akihutubia Mkutano wa Kilele wa Umoja wa Mataifa uliokuwa ukijadili ajenda ya Utawala wa Sheria katika ngazi ya Kitaifa na Kimataifa. Mkutano huo wa Siku Moja ulifanyika siku ya Jumatatu hapa Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa. 

Membe Meets The USAID Boss In New York

Hon. Bernard K. Membe (MP), Minister for Foreign Affairs and Itnernatioanl Co-operation in a photo with Dr. Rajiv J. Shah (left), Administrator of the United States Agency for International Development (USAID). 
 Dr. Shah had paid a courtesy visit to see Hon. Membe today at the Double Tree by Hilton Hotel situated in downtown New York, USA.  Hon. Membe is in New York to address the United Nations General Assembly on behalf of H.E. President Jakaya Mrisho Kikwete, President of the United Republic of Tanzania in this year's 67th Session of the United Nations General Assembly (UNGA - 67). 
Hon. Bernard K. Membe (MP), Minister for Foreign Affairs and International Co-operation in discussion with Dr. Rajiv J. Shah (left), Administrator of the United States Agency for International Development (USAID) at the Double Tree by Hilton Hotel situated in downtown New York, USA.  Also in the photo is Ambassador Celestine Mushy (2nd right), Director of the Department of Multilateral Cooperation in the Ministry of Foreign Affairs and International Co-operation.   

Mama Salma Kikwete Katika Mkutano Wa Viongozi Wa Afrika New York-Marekani


 Mama Salma Kikwete akiwa na Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe Mwanaidi Sinare Maajar, Balozi wa Umoja wa Afrika katika Umoja wa Mataifa Mhe. Amina Salum Ali na Mshauri wa Rais  mambo ya Diplomasia Balozi Liberata Mulamula kabla ya kuhudhuria mkutano wa  African First Ladies Roundtable jijini New York, Marekani, leo
 Mama Salma Kikwete akibadilishana mawazo na   Bibi Katalin Bogyay Balozi wa  Hungary UNESCO na amebobea katika diplomasia ya utamaduni  na mtetezi mkubwa wa masuala yahusuyo  fursa sawa ya elimu kwa mtoto wa kike.

Utata Waibuka Uuzaji Migodi ya Dhahabu


WAZIRI wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo 
Na Mary Victoria

WAZIRI wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo amesema atahakikisha kampuni ya China National Gold Group Corporation (CNGGC) ambayo iko mbioni kununua hisa zaidi ya asilimia 30 za kampuni ya African Barrick Gold (ABG) kwamba haichimbi madini nchini hadi hapo ABG itakapolipa madeni yote inayodaiwa na Serikali ya Tanzania, Raia Mwema limeelezwa.


Msimamo huo wa Serikali umetokana na taarifa za hivi karibuni ambazo pia zilithibitishwa na Profesa Muhongo kwamba ABG imekuwa kwenye majadiliano ama tayari imeshajadiliana na kukubaliana na CNGGC juu ya kuuza hisa zake.



Profesa Muhongo amesema wameanza kuchunguza taarifa hizo na kwamba atahakikisha kampuni hiyo ya China haichimbi madini nchini hadi kampuni ya ABG ihakikishe imelipa madeni yote inayodaiwa kutokana na shughuli zake za uchimbaji madini nchini.


Three Nigerian Fraudsters Arrested Over Sh35m

The three suspects shy away from the cameras after their arrest. PHOTO/Donald Kirya
====
By Donald Kirya in Jinja 

 Three men, said to be Nigerian nationals, were arrested by Police in Jinja for allegedly defrauding a cashier working with Kakira Sugar Limited of shs35m. Valentine Ukeje, 37, Jordan Steven Asobasi, 32, and Towa Kawawa were intercepted by Police Monday morning. 

 They are all businessmen and residents of Makindye division in Kampala, reports show. Jonathan Musinguzi – the Jinja district Police commander – said the trio led by Ukeje went to the Jinja-based sugar factory at the end of last month, outsmarted one of the cashiers there and disappeared with sh35m. 

Siri Za Wageni ‘Vihiyo’ Zaanikwa

Na Edson Kamukara
SIKU moja baada ya gazeti hili kuchapisha habari za baadhi ya wafanyakazi wa kigeni kuajiriwa katika hoteli kubwa za kitalii jijini Dar es Salaam kwa kazi ambazo zinapaswa kufanywa na wazawa, siri nzito zimeendelea kutobolewa jinsi wanavyopatiwa vibali kiaina. 

Katika taarifa iliyochapishwa jana, ni kwamba wafanyakazi hao huletwa na ndugu zao wenye madaraka makubwa katika hoteli hizo bila kujali taaluma zao. Katika orodha ya hoteli moja kubwa na maarufu iliyoko eneo la Kunduchi jijini hapa, inaonyesha kuwa na wafanyakazi wa kigeni 29 ambao takriban ni raia wa India ukiacha watendaji wachache wa juu kabisa. 
Taarifa hiyo imewaibua wafanyakazi kadhaa kwenye kampuni na hoteli mbalimbali ambapo walipiga simu na wengine kufika chumba cha habari kuelezea kwa undani jinsi wageni hao wanavyoendelea kumiminika na kufanya kazi nchini kiujanjaujanja. Mmoja wa viongozi wa juu wa hoteli ya kitalii iliyoko eneo la Kunduchi, alikiri kuwa madai hayo ni ya kweli lakini akasisitiza kuwa chimbuko la matatizo yote ni watendaji wa serikali walioko ndani ya Wizara mbili za Mambo ya Ndani na Kazi na Ajira. 
“Mimi si msemaji wa hoteli kuhusu jambo hilo unaloliuliza lakini nikwambie kuwa anayeidhinisha sifa za wageni hao kama wana sifa au la ni mwajiri. 
Pili watu hawa wako nchini kihalali wakiwa wameidhinishwa na serikali. Mtoa taarifa huyo alipoulizwa kuhusu madai ya uongozi wa hoteli hiyo kutoa rushwa kwa maofisa wa serikali ili kuwalainisha wasiwasumbue wageni hao, alikiri ni kweli na kutamba: “Kama tunao uwezo huo wa kufanya hivyo kwa nini tusifanye? “Hawa wafanyakazi wazalendo wanaolalamika kunyimwa haki madai yao ni ya kweli, lakini mfumo wa serikali yetu umevurugika kila vinapokuja vyombo vya dola hotelini tunamalizana,” alisema. 

Rayo Vallecano 0-2 Real Madrid: Benzema and Ronaldo light up Vallecas

Karim Benzema, Cristiano Ronaldo - Real Madrid
Real Madrid got their Liga campaign back on track with a 2-0 victory over Rayo Vallecano, thanks to goals from Karim Benzema and Cristiano Ronaldo at Vallecas.
==**==
Los Blancos earned a hard-fought victory on Monday night, with the attacking pair finding the goals to get their Liga campaign back to winning ways

They may have been delayed nearly 24 hours after floodlight cables were sabotaged on Sunday night, but the game was worth the wait for Madrid, with Benzema's 13th minute strike and a Ronaldo penalty late on sealing the win.