Watu wakiwa katika harakati za kununua mahitaji mbalimbali ya Futari kwa ajili ya mfungo.
Harakati katika soko la Mwanakwerekwe zikiwa kama kawaida ikiwa jana ni mwezi mosi rRamadhani hali sokoni hapo ikiwa y kawaidi bidhaa za futari bei ikiwa ya wastani fungu la majimbi, muhogo, viazi vikuu na maboga bei ya mwazo ni shilishi 1000 mna 2000. na Nazi zilikuwa zikiuzwa kati ya shilingi 500/= hadi 700/=.
Bei ya Ndizi mbichi chana moja huuzwa shilingi 2500/= na mkono wa Tembo ndizi moja huuzwa 1200/= na 3000/=
0 comments:
Post a Comment