SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Friday, August 10, 2012

Rais Jakaya Kikwete Akutana na Waziri Waziri Mkuu wa Zimbabwe Bwana Morgan Tsvangirai

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha  Waziri Waziri Mkuu wa Zimbabwe Bwana Morgan Tsvangirai ikulu jijini Dar es Salaam jana mchana.Baadaye Bwana Tsvangirai aliondoka kurejea nchini kwake
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Waziri Waziri Mkuu wa Zimbabwe Bwana Morgan Tsvangirai ikulu jijini Dar es Salaam jana mchana.Baadaye Bwana Tsvangirai aliondoka kurejea nchini kwake.Picha na Freddy Maro-IKULU

0 comments:

Post a Comment