SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Thursday, January 26, 2012

Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli Akagua Maendeleo Ya Ujenzi Wa Kivuko Cha Msanga Mkuu Kinachogharimu Shilingi 2.8 Bilioni Za Serikali ya Tanzania

Waziri Magufuli akiongea na waandishi wa habari baada ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa kivuko cha Msanga Mkuu.

Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli (kushoto) akipata maelezo ya ramani kuhusu ujenzi wa kivuko cha Msanga Mkuu jana kutoka kwa Meneja mradi (mzungu) Peter van Bruggen katika bandari ya Dar es Salaam alipofanya ziara ya ukaguzi wa maendeleo ya kukagua maendeleo ya kivuko hicho. (kulia pichani ) na Kaimu Mtendaji Mkuu wa TEMESA, Mhandisi Marcellin Magesa, pamoja na watendaji wa vijiji kutoka Halmashauri ya Mtwara vijijni waliokuja kuangalia maendeleo ya ujenzi wa Kivuko ambacho kikikamilika kitatoa huduma kati ya Mtwara mjini na Msanga Mkuu. Kivuka kimegharimu shilingi bilioni2.8/za Serikali ya Tanzania.
BOFYA

0 comments:

Post a Comment