SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Tuesday, May 24, 2011

MAKAMU WA RAIS ATIA SAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO YA MAMA MARIA KAHAMA!!

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal akitia saini katika kitabu cha maombolezo ya kifo cha mke wa kwanza wa Balozi George Kahama Mama Maria Kahama aliyefariki dunia Mei 19, 2011 na kuzikwa juzi katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.   
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal akisalimiana na watoto wa Marehemu Mama 
Maria Kahama aliyekuwa mke wa kwanza wa Balozi George Kahama wakati alipofika kutia saini katika kitabu cha maombolezo nyumbani kwa marehemu ADA Estate Kinondoni Dar es Salaam leo Mei 24. 
(Picha na Muhidin Sufiani-OMR).  

0 comments:

Post a Comment