SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Sunday, May 8, 2011

HAPPY BIRTHDAY TO YOU!!!

Mh. Mohammed Dewji.
Tarehe na mwezi kama wa leo  alizaliwa Mkurugenzi Mkuu Mtendaji wa Makampuni ya MeTL na pia Mkurugenzi wa mtandao mahiri wa habari na burudani hapa nchini na duniani wa MO BLOG.
Mpenda watu, mcheshi na mpenda michezo na mwenzetu.
Blog hii inakutakia kila la heri katika siku ya kuzaliwa kwako na mafanikio yako.
Mola akujaalie Busara na Hekima katika maisha yako.
Mh. Mohammed Gullam Dewji.
Mbunge wa Singida Mjini.
HAPPY BIRTHDAY BROTHER!!

0 comments:

Post a Comment