SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Saturday, April 9, 2011

HAPPY BIRTHDAY

LinkLinkMohamed Khamisi (Mmiliki wa Urary95.blogspot.com)
LinkHard Mad
Leo ni siku ya kuzaliwa kwa mwanablog Mohamed Khamisi wa Hyderabad-Tolichowki India,
na pia ni siku ya kuzaliwa kwa
mwanamuziki na mshindi wa Tuzo za Kili Music Award kwa upande wa Wimbo Bora wa mtindo wa Reggae Hard Mad(aka MKUSHI) wa Dar es salaam-Kinondoni Tanzania.
Blog hii inaungana na ndugu, jamaa na marafiki katika kukutakieni Birthday njema katika siku hii ya kuzaliwa, nawatakieni kila laheri katika maisha yenu Mola awajaalie afya njema na
Linkmaisha marefu, busara na hekima katika kipindi chote cha maisha yenu, amin.
HAPPY BIRTHDAY.

0 comments:

Post a Comment