SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Thursday, September 23, 2010

JK Apokelewa Kwa Shangwe Kijijini Lupembe, Wilayani Njombe
JK akisalimiana na wananchi wa Kata ya Lupembe,wilayani Njombe, wakati alipowasili na kuwahutubia katika mkutano mkubwa wa Kampeni.JK akicheza pamoja na wananchi wa Kata ya Lupembe muda mfupi baada ya kuwasili katika kata ya Lupembe wilayani Njombe na kuwahutubia katika mkutano mkubwa wa Kampeni.JK akisalimiana na baadhi ya Wazee wa kata ya Lupembe wilayani Njombe,mkoani Iringa pindi alipokuwa akiwasili katika kata ya Lupembe na kuhutbia katika mkutano mkubwa wa Kampeni.
Picha na Freddy Maro.

0 comments:

Post a Comment