SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Sunday, July 18, 2010

Sean Paul Atua Sauzi Tayari Kwa Makamuzi Ya Big Brother All Stars


Ankal na wadau wakiwa na mwanamuziki maarufu wa Jamaica, Sean Paul (kati)
mjini Sandton baada ya katua leo hapa sauzi akitokea morocco.Yupo hapa kama msanii mwalikwa kwenye uzinduzi wa Big Brother All Stars ambapo nyota 14 toka nchi za idadi hiyo hiyo wataingia mjengoni kwa shindano la siku 91 kuanzia leo Jumapili jioni. Hadi sasa haijajulikana ni nani wataingia mjengoni kwa mtanange huo ambao mshindi anaibuka na kitita cha dola laki 200. Mwisho Mwampamba na Richard ndio nyota wanaodhaniwa mmoja wao anaweza kurudi mjengoni. Na tusubiri baadaye tujue ukweli.
habari na issamichuzi blog

0 comments:

Post a Comment