Wesley Sneijder wa Uholanzi (kushoto) na Landry Nguemo wa
Cameroon wakiugombea mpira katika michuano ya Kombe la Dunia.
Na Uholanzi imeifunga Cameroon mabao 2-1 na hivyo
imeingia katika duru ya pili bila ya kushindwa katika michezo yake yote
mitatu.
Japan nayo hiyo jana, katika mchezo wa kufa kupona,
iliikandika Denmark mabao 3-1 na hivyo imejipatia tikti ya kusonga mbele
katika michuano hiyo ya Kombe la Dunia nchini Afrika Kusini.
0 comments:
Post a Comment