Jumuiya ya Afrika Mashariki
tarehe 25 ilitekeleza silaha nyepesi 2600 mkoani Kagela, Tanzania, ili
kuadhimisha siku ya ukombozi wa Afrika na shughuli za "mwaka wa amani na
usalama wa Afrika" za mwaka 2010.
Jumuiya ya Afrika Mashariki inayoundwa na Kenya, Uganda, Tanzania, Rwanda na Burundi ilitoa taarifa ikisema, nchi wanachama wa jumuiya hiyo inateketeza silaha nyepesi hadharani ili kuhakikisha usalama, utulivu na mshikamano wa kisiasa kwenye sehemu ya Afrika Mashariki.
Habari zinasema kwa ujumla jumuiya hiyo imetekeleza silaha nyepesi elfu 12 na baruti tani 5. Shughuli za kuteketeza silaha nyepesi pia zilifanyika huko Bujumbura, Burundi mwezi Aprili mwaka huu.
BBC Swahili.

0 comments:
Post a Comment