SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.
Showing posts with label VODACOM YASOGEZA HUDUMA ZAKE KWA WAKAZI WA TEGETA. Show all posts
Showing posts with label VODACOM YASOGEZA HUDUMA ZAKE KWA WAKAZI WA TEGETA. Show all posts

Wednesday, March 19, 2014

VODACOM YASOGEZA HUDUMA ZAKE KWA WAKAZI WA TEGETA

Mmiliki wa duka jipya la Vodacom lililofunguliwa Tegeta katika jengo la Kibo Complex, Bw. Francis Nanai (katikati) pamoja na Meneja Mauzo ya Rejareja wa Vodacom Tanzania, Bi. Upendo Richard (kulia) kwa pamoja wakikata utepe kuashiria kufunguliwa rasmi kwa duka hilo linakuwa ni la 78 kw nchi nzima na la 16 kwa wilaya ya Kinondoni likiwa na huduma na bidhaa mbali mbali za Vodacom.