Rais Dr. Jakaya Kikwete akisalimiana na David Shambwe Kulia Mkurugenzi
wa Uendelezaji Biashara wa Shirika la Nyumba (NHC) na Felix Maagi Kaimu
Mkurugenzi Mkuu na Mkurugenzi wa Fedha wa Shirika hilo, Wakati
alipowasili katika banda la (NHC) na kukagua, Kupata maelezo mbalimbali
ya shughuli za miradi inayotekelezwa na shirika hilo. Wakati
alipotembelea maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa (TANTRADE)
maarufu kama Sabasaba kwenye Viwanja vya Mwalimu J.K.Nyerere Barabara ya
Kirwa jijini Dar es salaam. Yanayofikia tamati kesho jijini Dar es
salaam , Katikati ni Dr. Abdallah Kigoda Waziri wa Viwanda na
Biashara.
(PICHA NA KIKOSI KAZI CHA FULLSHANGWE-DAR ES SALAAM).




