SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Thursday, April 7, 2016

MKUTANO WA BIASHARA

Habari Rafiki!
Leo Ni Alhamisi Na Ni Public Holiday "KARUME DAY" Ratiba Yako Imekaaje Kuanzia Saa Tisa Tisa Kamili, Umepanga Kufanya Nini? KARIBU Ungana Nasi.
Je Ungependa Kupata Mualiko Maalum Kuhudhuria Kwenye Mafunzo Makubwa Ya Ujasiriamali Kama Haya Bureee? Yatakayo Kukutanisha Na Wafanyabiashara Na Wamiliki Wa Biashara Kubwa Na Wadogo.
Tarehe : 7/04/2016
Siku : Alhamisi
Mahali : Green Acres Victoria
Kiingilio : Hakuna Kiingilio Bureee Kabisa!
Muda : Kuanzia Saa 9 :00 Alasiri

Upatapo Taarifa Hii Hakikisha Unamfikishia Rafiki, Ndugu, Jamaa, Na Jirani Yako Ili Naye Aje Kujifunza.
Kamatia Fursa Twende Zetu. ‪#‎ShitukaMapema‬


Nijulishe Kwa Kupiga Simu/WhatsApp : 0783 149 561 Au Tuma Sms.
Nikupe Maelezo Zaidi Ya Namna Ya Ushiriki Wako Wa Event Hii.

0 comments:

Post a Comment