Naibu
Katibu Mkuu Wizara ya Elimu,Sayansi,Teknolojia,Ufundi na Mafunzo ya
Ufundi,Prof.Simon Msanjila,akisalimiana na Ofisa manunuzi wa Baraza la
Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) Lauden Mugogo,wakati alipowasili
kuzindua kongamano la siku mbili la Mafunzo ya ufundi yanayokidhi
viwango bora kwenye soko la ajira lililoandaiwa na baraza hilo,
liliofanyika jijini Dar es Salaam leo.kulia ni Kaimu Katibu Mkuu wa
baraza hilo,Dkt.Adolf Rutayuga.
Naibu
Katibu Mkuu Wizara ya Elimu,Sayansi,Teknolojia,Ufundi na Mafunzo ya
Ufundi,Prof.Simon Msanjila(kushoto)akifafanuliwa jambo na Kaimu Katibu
Mkuu wa Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE),Dkt.Adolf
Rutayuga(kulia) wakati alipowasili kuzindua kongamano la siku mbili la
Mafunzo ya ufundi yanayokidhi viwango bora kwenye soko la ajira
lililoandaiwa na baraza hilo jijini Dar es Salaam leo.katikati ni
Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa baraza hilo,Prof.Yunus Mgaya.
Naibu
Katibu Mkuu Wizara ya Elimu,Sayansi,Teknolojia,Ufundi na Mafunzo ya
Ufundi,Prof.Simon Msanjila,akihutubia wakati wa ufunguzi wa kongamano la
siku mbili la Mafunzo ya ufundi yanayokidhi viwango bora kwenye soko la
ajira lililoandaiwa na Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE)jijini
Dar es Salaam leo.
Mwenyekiti
wa bodi ya wakurugenzi wa baraza hilo,Prof.Yunus
Mgaya(kushoto)Mwongozaji wa kongamano la siku mbili la Mafunzo ya ufundi
yanayokidhi viwango bora kwenye soko la ajira,Reeves Ngalemwa(watatu
kushoto)pamoja na Kaimu Katibu Mkuu wa baraza hilo,Dkt.Adolf
Rutayuga(kulia)wakimuongoza Naibu Katibu Mkuu Wizara ya
Elimu,Sayansi,Teknolojia,Ufundi na Mafunzo ya Ufundi,Prof.Simon
Msanjila(wapili kushoto)kuzindua kongamano hilo lililofanyika jijini Dar
es Salaam leo.
Naibu
Katibu Mkuu Wizara ya Elimu,Sayansi,Teknolojia,Ufundi na Mafunzo ya
Ufundi,Prof.Simon Msanjila,akiongea na waandishi wa habari baada ya
kuzindua kongamano la siku mbili la Mafunzo ya ufundi yanayokidhi
viwango bora kwenye soko la ajira,lililoandaliwa na Baraza la Taifa la
Elimu ya Ufundi (NACTE)jijini Dar es Salaam leo,wapili toka kushoto
Mwenyekiti wa bodi ya elimu ya mafunzo,Dkt. Rebecca Sime na Kaimu Katibu
Mkuu wa Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE),Dkt.Adolf Rutayuga.
Baadhi
ya washiriki wa kongamano la siku mbili la Mafunzo ya ufundi
yanayokidhi viwango bora kwenye soko la ajira,wakimsikiliza kwa umakini
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu,Sayansi,Teknolojia,Ufundi na Mafunzo
ya Ufundi,Prof.Simon Msanjila(hayupo pichani)wakati akizindua kongamano
hilo lililoandaliwa na Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE), leo
jijini Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment