SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Wednesday, March 2, 2016

RAIS DKT MAGUFULI AMLAKI NA RAIS MUSEVENI WA UGANDA JIJINI ARUSHA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na  akifafanua jambo mbele ya wanahabari (hawapo pichani) mara baada ya  kukutana na kufanya mazungumzo kwenye Ikulu Ndogo ya Arusha jijini  Arusha leo Machi 1, 2016 mara tu baada ya Kiongozi huyo wa Uganda kuwasili jijini humo kuhudhuria Mkutano wa 17 wa Kawaida wa Wakuu wa  nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki.Pichani kulia ni Rais wa Uganda Mhe Yoweri Kaguta Museveni.


Rais wa Uganda Mhe Yoweri Kaguta Museveni akiongea na wanahabari mara baada  ya kukutana na kufanya mazungumzo kwenye Ikulu Ndogo ya Arusha jijini  Arusha leo Machi 1, 2016 mara tu baada ya Kiongozi huyo wa Uganda  kuwasili jijini humo kuhudhuria Mkutano wa 17 wa Kawaida wa Wakuu wa  nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki.Pichani shoto ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisikiliza kwa makini.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na
Rais wa Uganda Mhe Yoweri Kaguta Museveni wakifanya mazungumzo kwenye Ikulu Ndogo ya Arusha jijini Arusha leo Machi 1, 2016 mara tu baada ya Kiongozi huyo wa Uganda kuwasili jijini humo kuhudhuria Mkutano wa 17 wa Kawaida wa Wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki.

0 comments:

Post a Comment