SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Saturday, February 27, 2016

Party ya mwaka mmoja wa kipindi cha Michezo cha kituo cha Radio E-fm, Sport headquarters

efmjj
Mtandao wako bora kabisa unakuletea moja kwa moja (LIVE) tukio la mwaka mmoja wa kipindi cha Michezo cha kituo cha Radio E-fm, Sport headquarters. Tukio hili linafanyika hapa  katikati ya Jiji la Dar es Salaam..
Wadau mbalimbali wa michezo na wasikilizaji pamoja na wachambuzi wa michezo wapo hapa wakifuatilia tafrija hii ya ‘Party’ maalum katika mgahawa wa sport rounge katikati ya jiji la dar-es-salaam.
Keki maalum ya E-fm, Sport HQ..

Ibrahim Masoud (Maestro)  akifanya mahojiano moja kwa moja na kipindi cha E-fm Sports
Wadau wa E- fm wakifuatilia Party hiyo moja kwa moja…
Msikilzaji mahiri wa e-fm sports, Chichalito akihojiwa na Maestro ..
\Bondia wa kike, Pendo Njau akiwa katika tafrija hiyo..
Maestro akifanya mahojiano na Ofisa habari wa TFF, Omary Kiziguto..
Mdau wa michezo na shabiki nguli wa klabu ya Yanga, Karigo Godson akipata kutoa maoni yake moja kwa moja kwa kipindi cha e-fm sport headquaters..
Kikosi cha e-fm sports headquarters wakiwa moja kwa moja wakiendelea na kipindi ..
Tunu Hassan (Mildfida) akitangaza ‘live’
Omary Katanga akiwa ‘live’ akitangaza kipindi moja kwa moja… 
Yusuph Mkula akitangaza ‘live’..
Wadau wakiwa ‘live’
Wadau  e fm wakiwa katika tukio..
E fm..
Wadau wakiwa katika picha ya pamoja..
Wadau wakiwa katika shughuli hiyo..
Maestro akifungua moja kwa moja kipindi cha  e fm, sport HQ..........
(Picha zote na Andrew Chale,Modewjiblog)

0 comments:

Post a Comment