SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Wednesday, October 21, 2015

Mashindano ya Tigo Igombe Marathon yafana mjini Tabora

Wanariadha wakianza mbio za Igombe marathon zilizo dhaminiwa na Tigo, mjini Tabora
Mgeni rasmi ,Mkuu wa wilaya wa Tabora mjini, bw.Suleiman Kumchaya(katikati na track suit ya samawati), akiwaongoza wanariadha katika mbio za Tigo Igombe marathon

Mgeni rasmi wa Tigo Igombe marathon, Bw.Suleiman Kumchaya, mkuu wa wilaya wa Tabora mjini, akiwahutubia washiriki wa mbio hizo (hawapo pichani), kulia kwake ni Bw.Kamara Kalembo, meneja masoko kanda ya Ziwa kutoka Tigo, na Kushoto ni OCD wa Tabora mjini
Washindi wa kike wa mbio za Tigo Igombe marathon, wakiwa katika picha ya moja baada ya kushiriki mbio za Tigo Igombe marathon

Washindi wa kiume wa mbio za Tigo Igombe marathon, John Mwandu mshindi wa kwanza(Kulia), Kagito Shindai mshindi wa pili(Katikati), Juma Ali mshindi wa tatu wakiwa katika picha ya moja baada ya kushiriki mbio za Tigo Igombe marathon
Washindi wa Igombe marathon kuanzia wa kwanza hadi wa tatu(wanaume na wanawake) wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi na wadhamini wa mbio hizo(Tigo)
Washiriki wa Tigo igombe marathon wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi na wadhamini wa mbio hizo

CHANZO; MWANAHARAKATI MZALENDO 

0 comments:

Post a Comment