SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Thursday, June 4, 2015

MKUTANO WA TANO WA WADAU WA NSSF WAENDELEA LEO AICC JIJINI ARUSHA

Mwenyekiti wa Kikao cha kwanza siku ya leo katika Mkutano wa tano wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), ambaye pia ni Mjumbe wa Bodi ya Shirika hilo, Magret Ikongo akiongoza kikao hicho leo, kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha.
Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Crescentius Magori akimpatia maelekezo, MC wa Mkutano wa tano wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Sauda Simba wakati wa Mkutano huo unaonedelea leo, kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha.
Meneja Kiongozi wa NSSF Mkoa wa Kilimanjaro, Delfina Masika akitoa maelezo juu ya uendeshaji na muenendo wa Mfuko wa NSSF, wakati wa Mkutano wa tano wa Wadau NSSF unaoendelea leo kwa siku ya pili,kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha.

Mkurugenzi wa Mipango,Uwekezaji na Miradi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Yacoub Kidula akiwasilisha mada iliyohusu mambo ya Uwekezaji, kwenye Mkutano wa tano wa Wadau NSSF unaoendelea leo kwa siku ya pili,kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha.                                               
Sehemu ya Wajumbe wa Bodi ya Shirika la NSSF wakiwa kwenye Mkutano huo.
                                                                   Baadhi ya Watendaji wa Shirika la NSSF.



Wadau wa Mkutano wa NSSF kutoka nchi za nje wakiwa kwenye Mkutano huo.


Mkurugenzi wa Matekelezo wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii, (SSRA), Lightness Mauki akitoa hoja kwenye Mkutano wa tano wa Wadau NSSF unaoendelea leo kwa siku ya pili,kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha.

Muwakilishi kutoka Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (RBA) YA nchini Kenya, Charles Machira akiwasilisha mada yake kwenye mkutano wa tano wa wadau wa NSSF, unaofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC, jijini Arusha leo.


Baadhi ya Wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari wakifatilia mkutano huo.
Sehemu Wadau wa Mkutano wa tano wa Wadau wa NSSF, wakifatilia mada mbali mbali.
Wadau mbalimbali wakiuliza maswali katika kipindi cha maswali na majibu, kwenye mkutano wa tano wa wadau wa NSSF, katika ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC leo jijini Arusha.
Balozi wa Mfuko wa NSSF, Msanii wa Muziki wa Kizazi kipya, Mwasit Almas akifatilia mkutano huo.
               Muonekano wa Ukumbi wa AICC wakati wa Mkutano wa tano wa NSSF.
Picha na Othman Michuzi

0 comments:

Post a Comment