SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Wednesday, June 24, 2015

KIBAKA ASHUGULIKIWA MARA BAADA YA KUTAKA KUFANYA UHARIFU JIJINI DAR ES SALAAM

 Askari wa kaampuni ya G1 Security wakimrekebisha mtuhumiwa wizi ambaye jina lake halikupatikana  mara moja ambaye alikuwa katika harakati za kutaka kufanya uharifu  katika Jengo la PAM RESIDENCE jijini  Dar es salaam.
 Mtuhumiwa wa wizi ambaye alikusudia  kufanya uhalifu  katika Jengo la PAM RESIDENCE jijini Dar es Salaam akitolewa nje na Askari wa kaampuni ya G1 Security.
 Mtuhumiwa wa uharifu katika jengo la PAM RESIDENCE jijini Dar es Salaam.
 Askari wa kaampuni ya G1 Security wakuwa na mtuhumiwa  ambaye jina lake halikupatikana mara moja wakiwa nje ya jengo  PAM RESIDENCE jijini Dar es Salaam.
Mtuhumiwa wa wizi  ambaye jina lake halikupatikana mara moja akihojiwa na Askari wa kaampuni ya G1 Security juu ya jiwe alilokuwa nalo kwenya mfuko.
Picha na EMMANUEL MASSAKA.

0 comments:

Post a Comment