SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Thursday, May 7, 2015

YANGA WAKABIDHIWA KOMBE LAO IKIWAPA NAFASI YA PILI AZAM FC

 Wachezaji wa Yanga wakishangilia baada ya kukabidhiwa kombea lao jana baada ya kumalizika mchezo wa Ligi Kuu Bara, kati yao na Azam Fc kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Katika mchezo huo Yanaga ilifungwa mabao 2-1.
 Ilikuwa ni shangwe na nderemo baada ya kukabidhiwa kombe hilo.
 waziri wa Habari, michezo na utamaduni, dkt. Fenella Mukangara, akimvisha Nishani Nahodha wq Yanga, Juma Abdul, baada ya kumalizika kwa mchezo huo.
 Beki na Mahodha wa Yanga, Jima Abdul (kushoto) akiwania mpira na Majwega wa Azam wakati wa.mchezo huo.
Warembo wakiwa na kikombe cha ligibkuu walichokabidhiwa Yanga.

0 comments:

Post a Comment