SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Thursday, May 7, 2015

Taswira Mbali Mbali Za Hali Ilivyo Jijini Dar Leo

Maji jamani wengine wayafuata umbali mrefu, huku yanasumbua.
Nimwendo wa kusaidiana tuu maji maji.
Usafiri nao ni  shida ndani ya maji jijini Dar es Salaam.
Bila miguu juu hapa itakuwa mwendo wa kulowa tuu.
Hii hali sasa imekuwa ngumu,huku wengine wakitengeneza mkwanja.
Majimaji Dar leo mwendo wake ni maji maji tuu.
Usafiri sasa zamu yake imefika kubebwa.

Umakini uzingatiwe kwenye mashimo.
Na Michuzi Media

0 comments:

Post a Comment