SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Sunday, May 17, 2015

Diamond Platnuz na Team yake Watua London tayari kwa show

Staa wa Bongo Fleva aliefanikiwa kutoboa kimataifa, Diamond Platnumz ametua mjini London, uigereza kwa aajili ya show yake itakayofanyika usiku wa leo jijini humo kwenye ukumbi wa The Royal Regency.
 
Hapo jana staa huyu alitembelea kituo cha kimataifa ya utangazaji, BBC na kufanya mahojiano
Kila la kheri Diamond.

0 comments:

Post a Comment