SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Monday, December 1, 2014

AJANGA! [PICHAZ] MVUA ILIYONYESHA BAGAMOYO YASABABISHA MAFURIKO!

Hizi ni picha tofauti zikienesha taswira ya mvua iliyonyesha Bagamoyo alfajiri ya leo na kusababisha mafuriko. Hayo ni maji yaliyojaa stendi ya mabasi ya Bagamoyo.

0 comments:

Post a Comment